http://www.vessella.it KARIBU!
Jifunze lugha ya Kiesperanto

YALIYOMO

Utangulizi

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la kwanza

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la pili

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la tatu

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la nne

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la tano

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la sita

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la saba

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la nane

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la tisa

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18
Somo la kumi

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18

Kamusi

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 18

Notice: Undefined variable: function_ret in /var/www/vhosts/vessella.it/httpdocs/fpdb/esp/yaliyomo.inc.php on line 43

1. SOMO LA KWANZA

1. MATAMKO

Alfabeti: A a, B b, C c, Ĉ ĉ, D d, E e, F f, G g, Ĝ ĝ, H h, Ĥ ĥ, I i, J j, Ĵ ĵ, K k, L l, M m, N n, O o, P p, R r, S s, Ŝ ŝ, T t, U u, Ŭ ŭ, V v, Z z.

Irabu: A a, E e, I i, O o, U u.

Konsonanti: B b, C c, Ĉ ĉ, D d, F f, G g, Ĝ ĝ, H h, Ĥ ĥ, J j, Ĵ ĵ, K k, L l, M m, N n, P p, R r, S s, Ŝ Ŝ, T t, Ŭ ŭ, V v, Z z.

Irabu zote na konsonanti zifuatazo zinaonyesha sauti zile zile zinazoonyeshwa kwa herufi zile zile za Kiswahili:

B, D, F, G, H, K, L, M, N, P, R, S, T, V, Z.

Kwa hiyo, irabu zote na konsonanti zilizotajwa hutamkwa kama kwa Kiswahili.

Konsonanti zinazofuata zinaonyesha sauti zilizo katika Kiswahili, lakini kwa Kiswahili zinaonyeshwa kwa herufi tofauti:

Ĉ hutamkwa kama CH vile vile katika maneno mengi ya kiswahili: chache, chama, n.k.

J hutamkwa kama Y: ndiyo, haya, n.k.

Ŝ hutamkwa kama SH: shaka, kwisha, n.k.

Ŭ hutamkwa kama W: watu, Kiswahili, mwana, n.k.

Konsonanti zifuatazo zinaonyesha sauti zisizopo katika lugha ya Kiswahili:

C hutamkwa kama TS katika neno la lugha ya Kiha -otse (maana yake -ote) na kama katika neno la lugha ya Kimunakiiya buutsa (kuchukua) na karibu kama TS katika neno la Kiingereza cats (paka);

Ĝ hutamkwa kama J katika lugha ya Kigogo: -inji (ingi), lakini bila sauti ya N; basi hutamkwa kama J ya Kiswahili katika neno njaa, bila sauti ya n. Angalia pia kwamba sauti hiyo ni tofauti sana na sauti sahihi ya j katika neno kuja au ya neno jina. Hutamkwa pia kama DG katika neno la Kiingereza porridge (uji) na kama ج katika lugha ya Kiarabu;

Ĥ hutamkwa kama X katika neno la lugha ya Kinyaturu ukixaa (kukaa)au kama ح katika lugha ya Kiarabu;

Ĵ hutamkwa kama S katika neno la Kiingereza to measure (kupima).

Je, unafahamu tofauti ya sauti za majozi yafuatayo ya herufi?

ĉ ≠ ĝ ŝ ≠ ĵ l≠ r

2. KIKAZO

Kiesperanto kinafanana na Kiswahili kuhusu kikazo. Irabu inayokazwa ni ile kabla ya irabu ya mwisho.

Kumbuka irabu ni: a, e, i, o, u tu!

3. ZOEZI

Maneno ya orodha ya kushoto ni tofauti kabisa na maneno ya orodha ya kulia

ĝusta

sawa sahihi

justa

-a haki

jako

koti

ĵako

"jack", aina ya kiunganisho

ĵako

aina ya kiunganisho

ŝako

sataranji

tuŝi

kagusa

tusi

kukohoa

stelo

nyota

ŝtelo

wizi

stelo

nyota

sitelo

ndoo

aĵo

kitu

aĝo

umri

leĝo

sheria

lego

somo, usomaji

ĝelo

namna ya mgando

ĉelo

kijumba, seli

peco

kipande

peko

dhambi

peco

kipande

pezo

uzito

peco

kipande

peso

uzani

pesi

kupima uzito, kuhesabu uzani

pezi

kuwa na uzito

horo

saa

ĥoro

kwaya

ĥoro

kwaya

koro

moyo

iro

mwendo

ilo

ala

neebla

-siowezekana

nebula

utusitusi/kwa moshi au kwa mvuke

ŝveli

kuvimba

ŝoveli

kupalilia kwa jembe

Zingatia matamko sahihi ya maneno haya:

lingvo

lugha

kvadrato

mraba

kompreni

kufahamu

ŝranko

kabati

frokto

tunda

skribi

kuandika

kvalito

jinsi, sifa

trudherbo

gugu

semajno

juma, wiki

scii

kujua

lipharoj

msharubu

fenestro

dirisha

stari

kusimama

edzo

mume

montri

kuonyesha

rajto

hoja, haki

proksima

karibu

ŝtrumpo

soksi

kvadrato

mraba

spicherboj

majani ya kukolezea chakula

ŝranko

kabati

< Somo lifuatalo >
© Nino Vessella , 1996-.
Diritti riservati. Nessuna parte può essere riprodotta, in qualsiasi forma o mezzo, senza citare la fonte.
Ĉiuj rajtoj rezervitaj. Neniu parto povas esti reproduktita, en kiu ajn formo au per kiu ajn metodo, sen mencii ĉi tiun fonton.
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili sehemu yoyote bila kuitaja asili yake hii.
All rights reserved. No part may be reproduced, in any form or by any means, without mention of this source.